News

London, England. Arsenal jana ilicheza mechi yake ya mwisho nyumbani kwenye Ligi Kuu England ikiwa inapewa nafasi kubwa ya ...
Kama Simba itarekebisha mapungufu kadhaa ambayo iliyaonyesha kwenye mchezo uliofanyika juzi kwenye Uwanja wa Manispaa ya ...
Rapcha amezaliwa Septemba 1999. Kwa hiyo kwa kulazimisha unaweza ukasema Rapcha ni mtoto wa ‘efu mbili’. Na wote tunajua kwa kawaida stori za madogo wa elfu mbili ni mambo ya mapenzi, ...
Staa wa muziki wa Bongo Flava, Mbosso Khan amesema madai ya kurudi kijijini baada kuondoka katika lebo ya muziki ya WCB, ...
Kumekuwa na utata juu ya msanii wa Singeli, Dulla Makabila ni shabiki wa timu gani hapa Bongo. Hii imetokana na kila wakati kubadilika na leo ni Simba na kesho Yanga.
Baadhi ya wachimbaji wadogo katika kijiji cha Mwakitolyo Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga wakiwa katika eneo ilipotokea ajali iligharimu maisha ya watu sita na majeruhi 11.
Kesi mbili ikiwemo ya kuchapisha taarifa za uongo mitandaoni zinazomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ...
Baadhi ya wachimbaji wadogo katika kijiji cha Mwakitolyo Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga wakiwa katika eneo ilipotokea ...
Watu watatu wakazi wa wilaya za Chunya na Mbarali mkoani Mbeya wamehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela kila mmoja baada ya kupatikana na makosa ya ubakaji.
Kama umemuona kiungo Stephanie Aziz KI uwanjani leo akiichezea Yanga basi umebahatika kumtazama kwa mara ya mwisho kiungo ...
Mambo manne yametajwa kutishia uendelevu wa sekta ya nyuki nchini Tanzania, ikiwemo matumizi ya dawa za kuua wadudu katika kilimo yasiyozingatia kiwango kinachotakiwa.
Ukiachana na uwezo wake kiuongozi na hotuba yake iliyoakisi kiu kubwa ya Waafrika, sifa ya Tanzania kidiplomasia barani ...