News

Mwanzoni walidai kuwa Zuchu anatengenezwa ili kumshusha Nandy kimuziki, lakini miaka kadhaa nyuma ni watu haohao waliosema ...
Licha ya kutofanikiwa kutwaa tuzo hiyo, ushindi ulikwenda kwa msanii wa Brazil, Ajuliacosta, ambaye alikonga nyoyo za ...
“Wasanii wenzangu na watanzania ... wengine kwa ajili ya uvumilivu wa mapito ninayopitia, shida ngumu kuvumilia mambo magumu wameamua kuniita Simba wa kike. Tunateka Kilindini, tuko hapa Kibwezi ...
MSANII wa Hip Hop, Abdullah Jamal Mnete 'Zaiid' ambaye kwa sasa anatamba na wimbo mpya wa Tafuta Bwana amezungumzia namna ...
Usiku wa kumakia jana idara ya polisi ilimkamata naibu katibu mkuu wa chama hicho Amani Golugwa, katika uwanja wa ndege wa Dar es salaam, kabla ya kuabiri ndege kuelekea Ubelgiji kuhudhuria ...
Akizungumza baada ya kurudishwa nyumbani, mkurugenzi wa shirika la Vocal Afrika, Khalid Hassan, akiwa sambamba na jaji mkuu wa zamani wa Kenya, Willy Mutunga na mwanaharakati Hanifa Adan ...
Je, ni kwa kiwango gani X imebadilisha mazingira ya kijamii na kisiasa Tanzania? Na kwa nini kila ... wanasiasa, waandishi wa habari, wasanii, wafanyabiashara, na wananchi wa kawaida.
Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika mashariki zinazokabiliwa na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana wanaohitimu katika vyuo mbambali vya elimu ya juu na standi za ufundi. Mpaka sasa ...
Mahakama moja ya Afrika Kusini imemhukumu mwanamke mmoja kifungo cha maisha jela, kwa kumteka nyara mwanae na kisha kumuuza katika kesi iliyoishitua nchi hiyo ya Afrika. Mtoto huyo wa kike Joshlin ...
Mwanaharakati mashuhuri wa Kenya, Boniface Mwangi bado anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi nchini Tanzania. Mwangi, alikuwa miongoni mwa wanaharakati wengine wa Afrika Mashariki waliosafiri ...
Tanzania's President Samia Suluhu Hassan has warned activists from neighbouring Kenya that she will not allow them to "meddle" in her country's affairs and cause "chaos". Her comments came after ...