News

President of the Tanzanian American Chamber of Commerce celebrates the opening Africa’s very first U.S. trade office in ...
TOFAUTI katika mpira ilikuwapo jana kwenye Uwanja wa Manispaa ya Berkane. Rafiki zetu walituonyesha wazi kwamba wametuacha mbali kisoka. Mengine ambayo tunajaribu kufanya kwa sasa ni kufarijiana.
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kitafanya mikutano yake ya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu kuanzia kesho Jumatatu Mei 19, 2025 jijini Dar es Salaam.