News
Mwanzoni walidai kuwa Zuchu anatengenezwa ili kumshusha Nandy kimuziki, lakini miaka kadhaa nyuma ni watu haohao waliosema ...
Wabunge wameishinikiza Serikali kuweka msimamo thabiti katika kuwalinda watoto na kizazi cha sasa, wakieleza kuwa maadili ...
Kwa mara ya kwanza, Tanzania inatarajia kuanzisha tuzo za kutambua na kuthamini mchango wa wasanii katika tasnia ya vichekesho ... zawadi za fedha kama ifuatavyo:- Mchekeshaji Bora wa Kike atapewa ...
Uganda na Tanzania ila wamechukua kwa 'engo' moja ya wanawake. Zaiid anasema mara nyingi anafanya nyimbo kwa kuangalia midundo ya wasanii wa nje ambayo awali washikaji zake walikuwa wanachukulia poa ...
Hijja ni ibada takatifu kwa waumini wa dini ya Kiislamu ambapo mamia ya maelfu ya waumini hukusanyika katika mji wa Makka ...
Nchini Tanzania, watumiaji wa mtandao wa X zamani Twitter bado wanahangaika kupata huduma za mtandao huo baada ya serikali kuripotiwa kuufunga. Kulingana na vyanzo tulivyozungumza navyo ...
Usiku wa kumakia jana idara ya polisi ilimkamata naibu katibu mkuu wa chama hicho Amani Golugwa, katika uwanja wa ndege wa Dar es salaam, kabla ya kuabiri ndege kuelekea Ubelgiji kuhudhuria ...
Je, ni kwa kiwango gani X imebadilisha mazingira ya kijamii na kisiasa Tanzania? Na kwa nini kila ... wanasiasa, waandishi wa habari, wasanii, wafanyabiashara, na wananchi wa kawaida.
Hayo ndiyo maswali yanayoulizwa na wanafamilia, raia wa Kenya na wanaharakati wa Tanzania, Kenya na Uganda, baada ya wanaharakati hao wawili kutorejea nchini mwao kama ilivyotarajiwa.
Wakili na mgombea urais wa zamani nchini Kenya, Martha Karua, amesema amefukuzwa kutoka nchini Tanzania ambako alipanga kuhuduria kusikilizwa kwa kesi dhidi ya mwanasiasa mashuhuri wa upinzani ...
Nyaisa amesema licha ya muziki wa Tanzania kuvuka mipaka ya nchi, wasanii wengi bado hawajachukua hatua ya kusajili kazi zao, jambo linalowanyima fursa ya kunufaika na kazi hizo kisheria.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results