News

Wegesa na Nyanswi. Ni wanawake wawili kutoka kwa jamii ya Wakuria. Wameoana kwa miaka 15. Wajane wasio na mrithi wa kiume hawawezi kurithi mali. Wagesa alimuoa Nyanswi kama mkewe ili kutatua ...
Wabunge wanawake katika bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wamepewa changamoto kuwa kusimamia hoja zinazotetea maslahi ya wananchi ni muhimu kuliko kuangalia maslahi ya vyama vyao.
Timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Taifa Queens imekuwa timu ya kwanza kutwaa taji la michuano ya soka inayosimamiwa na baraza la vyama vya soka Afrika Mashariki na Katim CECAFA. Michuano ya ...
Wabunge wanawake katika bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wamepewa changamoto kuwa kusimamia hoja zinazotetea maslahi ya wananchi ni muhimu kuliko kuangalia maslahi ya vyama vyao.
Michuano ya kuwania taji la Cecafa kwa wanawake inafikia tamati kesho jijini Dar es Salaam nchini Tanzania kwa mchezo wa fainali baina ya Tanzania Bara na Kenya. Kenya maarufu Harambee Starlets ...