News

FUNDI wa danadana, mwanadada Hadhara Charles ambaye mwili wake umekutwa umefia chumbani tangu siku tatu zilizopita unazikwa usiku huu nyumbani kwake Chanika jijini Dar es Salaam.