KIUNGO mshambuliaji wa TMA, Sixtus Sabilo amesema licha ya ugumu anaokumbana nao kucheza Ligi ya Championship anaiona nafasi yake ya kurejea Ligi Kuu Bara baada ya kushuka kiwango kwa muda.
KOCHA wa Bigman FC, Zubery Katwila amesema licha ya kukabiliwa na ratiba ngumu katika michezo minane iliyosalia kumaliza ...
Katika tukio lililoonekana kama sinema ya wizi wa kihistoria, genge la wahalifu limekutwa na hatia kwa kuiba choo cha dhahabu chenye thamani ya pauni milioni 4.8 kutoka kwenye maonyesho ya sanaa katik ...
TAKWIMU za Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), zinaonesha kuwa asilimia saba ya watu nchini Tanzania, wanaugua ugonjwa sugu ...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imetoa amri kuzuia kutajwa majina ya mashahidi katika kesi ya mauaji ya askari wanne na raia watatu, tukio lililohusisha kundi la ...
Ni miongoni mwa genge la wahalifu lililokutwa na hatia ya kuiba choo cha dhahabu chenye thamani ya pauni milioni 4.8 kutoka ...
Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, mmiliki wa gari hilo, Gabriel Kiliki amesema baada ya tukio, waliambiwa baba wa ...
Marekani inaishawishi Urusi ikubali kumaliza mzozo na Ukraine. Rais Putin wa Urusi amesema mzozo huo utakoma kwa masharti, ...
SERIKALI ya Awamu ya Sita imepata mafanikio katika kuboresha huduma za jamii zikiwamo za afya, elimu, maji na kupunguza ...
DODOMA: WAKUU wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Mikoa na Vikosi kutoka Tanzania Bara na Zanzibar wametakiwa kutumia mbinu ...
Dkt. Dorothy Gwajima anasema ni rahisi kusema utumie mabavu kwa kupeleka polisi wawakamate wanajamii lakini kwa uzoefu wake, “jamii hazijengwi hivyo” na anatoa mfano wa mkoa wa Mara, kaskazini ...
Hata hivyo kauli yake, imepokelewa kwa mshangao na wanaharakati wa demokrasia wanaodai kuwa kama uchaguzi ulivurugwa basi ulivurugwa na polisi na wanajeshi waliotumwa kwa makusudi kuwatisha wapiga ...