KIUNGO mshambuliaji wa TMA, Sixtus Sabilo amesema licha ya ugumu anaokumbana nao kucheza Ligi ya Championship anaiona nafasi yake ya kurejea Ligi Kuu Bara baada ya kushuka kiwango kwa muda.
Katika tukio lililoonekana kama sinema ya wizi wa kihistoria, genge la wahalifu limekutwa na hatia kwa kuiba choo cha dhahabu chenye thamani ya pauni milioni 4.8 kutoka kwenye maonyesho ya sanaa katik ...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imetoa amri kuzuia kutajwa majina ya mashahidi katika kesi ya mauaji ya askari wanne na raia watatu, tukio lililohusisha kundi la ...
Ni miongoni mwa genge la wahalifu lililokutwa na hatia ya kuiba choo cha dhahabu chenye thamani ya pauni milioni 4.8 kutoka ...
SERIKALI ya Awamu ya Sita imepata mafanikio katika kuboresha huduma za jamii zikiwamo za afya, elimu, maji na kupunguza ...
Ikiwa imetimiza siku 1,087 tangu Stendi ya Magufuli kuanza kutumika, eneo la chini stendi hiyo lenye ghorofa mbili halijawahi ...