Kwa mujibu wa shirika la Afya Duniani WHO, zaidi ya 60% ya wanawake wanaojifungua vijijini nchini Tanzania hukosa usaidizi wa wataalamu. Huko Mkoani Tabora wanawake wanazalishwa na wakunga wa Jadi ...